Jstar1
JF-Expert Member
- Aug 1, 2019
- 1,391
- 1,347
Kama kawaida binadamu hatuchoki kutafuta, ila baada ya kuwaza walau angalau niweze kupata kipato cha elfu 15 kwa siku namaanisha 450K kwa mwezi nkaamua niingie kwenye ufugaji wa kuku...
Natamani nifuge kuku wa mayai nichanganye na kuku wa kawaida, nina wasu wasi na eneo maana ni 42m*42M kwa makadri kama 1700SQM hapa dar es salsaam lipo sehemu yenye huduma zote ikiwemo umeme makazi na maji, ninao mda wa kutosha wa kuwahudumia.
wakuu kwa ilo eneo nipate kuku wangapi kwa kunipa hio faida... sina wasi wasi na mtaji nitapambana.