Wakuu, natafuta Bodaboda au Bajaji ya kuendesha kwa mkataba

Wakuu, natafuta Bodaboda au Bajaji ya kuendesha kwa mkataba

Joined
Oct 2, 2020
Posts
12
Reaction score
11
Salaam wakuu,

Mimi kama kijana nimekuja kwenu Kama Vile mama Samia alivyotuhasa kuwa kazi zipo nyingi mtaani. Mama anakazia hapa Vijana tujishughulishe sasa mimi nimechagua kuwa dereva wa boda au bajaji.

Yoyote ambaye anatafuta dereva wa kumkabizi chombo nipo hapa.

Location: Mwanza, Nyegezi.

Asante.
 
Nakushauri kitu,, kama unajua kuendesha hivyo vyombo. Tafuta sehemu ambayo wanafanya hiyo biashara then nenda kajiandikishe karibu na serikali ya mtaa na Afisa mtendaji. Halafu waombe wakakutambulishe katika vituo rasmi vya bajaji ili uanze kuwa dei Waka hapo. MWANZONI UTAPATA TABU ILA WAKISHAKUZOEA UTAISH TU.

MAISHA HAYAISHI MPAKA UKATE PUMZI.

MUNGU AKUTANGULIE MWANA.
 
Shukurani mkuu
 
Back
Top Bottom