Nakushauri kitu,, kama unajua kuendesha hivyo vyombo. Tafuta sehemu ambayo wanafanya hiyo biashara then nenda kajiandikishe karibu na serikali ya mtaa na Afisa mtendaji. Halafu waombe wakakutambulishe katika vituo rasmi vya bajaji ili uanze kuwa dei Waka hapo. MWANZONI UTAPATA TABU ILA WAKISHAKUZOEA UTAISH TU.
MAISHA HAYAISHI MPAKA UKATE PUMZI.
MUNGU AKUTANGULIE MWANA.