Wakuu natafuta kazi nina astashaada ya ICT

Wakuu natafuta kazi nina astashaada ya ICT

Joined
Aug 4, 2021
Posts
60
Reaction score
54
Habari wakuu,

Nimekuja mbele zenu kuomba msaada wa ajira. Mimi ni kijana wa miaka 23, nina astashaada ya ICT lakini natafuta kazi yoyote ya kwenda na kurudi ( kasoro kazi ya kuuza bar tu ),

Pia nina ujuzi wa
  • Kutoa password za simu za button
  • Kutoa frp lock kwa android phones
  • Kutafasiri movies
  • Ku maintain website
  • Kubadilisha file ( android )
  • Computer software and hardware maintenance zote nafanya.
  • Networking pia niko vizuri.
Naombeni msaada wenu wakuu [emoji120][emoji120]

Namba zangu
0624951695
0757376316

Nipo Dar es salaam Mbagala kuu.
 
Duh kwa hiyo nikiwa na simu ambayo siyo yangu nikikupa unatoa loku

Wew Ni hatari simu za wiz unazipga
 
Imagine nneichapa huko chocho af nakuja na ofa ya 10000. Sheria ipo au haipo[emoji23]
Bruh jamaa yangu amewai nusurika kwenda jela kwa ku flash simu kwa sh 15000/= .. akalipia laki na nusu kama faini.. inshort bila uthibitisho hamna kazi hapo ndugu.
 
Back
Top Bottom