Wakuu Natafuta mchumba wa kuja kumuoa.

olle bergdahl

Member
Joined
Jul 4, 2017
Posts
31
Reaction score
25
Nina umri wa miaka 23.
Kazi yangu mfugaji nipo Bariadi.
Elimu yangu darasa la saba..lakini sitofautiani na mwenye PHD.
Dini yangu mkristo.
Kijana mrefu mweusi kiasi.
Kabila langu msukuma wa shinyanga vijijini..

Sifa za mchumba nataka msichana awe mweupe mzuri, umri kuanzia miaka 19-25. Sichagui dini yake ila awe tayari kuolewa ndoa ya kimila, awe anaishi ndani ya Tanzania.
Asiwe amezaa au aliewahi kuolewa.
Awe mrefu kiasi na at least awe amemaliza hata form 4 na kuendelea.

Sifa nyingine mni-PM.

Nawasilisha kwenu wakuu.
 
Duu mfagia zizi utampata humu? Acha waje
 
Una akiri sana kwenye tangazo lako nimekuelewa unacho maanisha kwenye sifa zako

kila la kheri wanakuja wahitaji.
 
hahaha all the best mkuu....... ila kutafuta mwanamke wa level hizo jf utasubiri sana...... ni mtazamo wangu
 
wewe umeishia la 7 ,unamtaka wa form 4, duh...una masharti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…