Wakuu nataka kuuleta Gari la Toyota Camry toka Ughaibuni kuja hapo Tanzania?

Wakuu nataka kuuleta Gari la Toyota Camry toka Ughaibuni kuja hapo Tanzania?

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
42,872
Reaction score
34,363
Wakuu wenzangu wote wa Jamii forums hususan hii Thread ya Matangazo Madogo Madogo ,nawaombeni Ushauri wenu nataka kufanya Biashara ya kuleta Gari la aina ya ( Toyota

Camry)
toka Ughaibuni kuja kuuza hapa nyumbani mnasemaje nitapata Mnunuzi? na Kwa Bei gani za huko?Je ni Biashara nzuri ya gari kwa huko nyumbani kwetu? au mnanishauri nilete

Spea za Computer? je kuna Soko huko zuri la Biashara ya hiyo Gari na Spea za Computer? nawaombeni Ushauri wenu Asanteni wote. Gari Lenyewe nataka kuleta kwa Biasharani hili hapa chini picha yake

Manufacturer Toyota Production 1982–present Predecessor Toyota Celica Camry
Toyota Corona Class Narrow-body: compact (1980–1998)
Wide-body: mid-size (1991–present)
 
Biashara ipo bei kwa gari zenye cc,1000-2000,na ya chini ya mwaka 1999,bei ni 8ml naushuru imelipiwa,kama niyakuanzia mwaka,1999-2000 nakuendelea ni 10ml hivyo niwewe wakujipanga,ila kama ni camry ninayoiona hapa ni 15ml hadi 18ml.
 
Ushuru kwa huko bei gani kwa mfano unaleta Gari kama hiyo hapo juu kama 4 kwenye Conntena la futi 40 kwa gari 4 ushuru wake wa bandari inakuwa kiasi gani?
 
Ushuru kwa huko bei gani kwa mfano unaleta Gari kama hiyo hapo juu kama 4 kwenye Conntena la futi 40 kwa gari 4 ushuru wake wa bandari inakuwa kiasi gani?

Kuna thread ipo humu ndani sikumbuki alianzisha nani, ila wadau walijadili kwa undani sana biashara hii, kodi pamoja na process zote za ukokotoaji zinavyotakiwa zifanywe na tra! bila kusahau changamoto utazokutana nazo na jinsi unaweza kuzungusha! Pia unaweza kupata makadirio ya kodi ukiingia hapa: gariyangu.com
Kila ha heri mkuu!
 
Back
Top Bottom