Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,872
- 34,363
Ushuru kwa huko bei gani kwa mfano unaleta Gari kama hiyo hapo juu kama 4 kwenye Conntena la futi 40 kwa gari 4 ushuru wake wa bandari inakuwa kiasi gani?Biashara ipo bei kwa gari zenye cc,1000-2000,na ya chini ya mwaka 1999,bei ni 8ml naushuru imelipiwa,kama niyakuanzia mwaka,1999-2000 nakuendelea ni 10ml hivyo niwewe wakujipanga,ila kama ni camry ninayoiona hapa ni 15ml hadi 18ml.
Ushuru kwa huko bei gani kwa mfano unaleta Gari kama hiyo hapo juu kama 4 kwenye Conntena la futi 40 kwa gari 4 ushuru wake wa bandari inakuwa kiasi gani?