Teh teh tehNunua vitabu ujaze akili badala ya kigimbi
Mkuu wakikupatia jibu naomba nitag nami nahitaji hiyo mamboWakuu Nimeacha Kidogo mazoezi ya Kukimbia kwani Yanakondesha sana na Sasa nataka Nijaze Mikono, Six packs na Miguu. Mtu unanunua saa ya 700,000 halafu unapunguza Mkanda wake wa Silver siku Mmoja mdada Fulani wa Jamii Forums alifaidi kwa Yale mabaki ya Mkanda aliweza Kutengeneza Mkufu na Hereni nzuri za Silver.
Je food supliment gani Nizitumie ili nipate mafanikio?
Vipi Bei zake?
Side effects?
Wewe Unanishaurije? hata kama nimeamua Kutumia Nitaheshimu Mawazo ya Watu wengine pia juu ya Faida na Hasara za Supplements!
mkuu zinapatika wapi na kwa bei gani na ipi brand nzuri?Amino acid tabs/ powder that's generic ila zipo brand nyingi sana.
Jinga Sana wewe bora umepewa Ban.Wakuu Nimeacha Kidogo mazoezi ya Kukimbia kwani Yanakondesha sana na Sasa nataka Nijaze Mikono, Six packs na Miguu. Mtu unanunua saa ya 700,000 halafu unapunguza Mkanda wake wa Silver siku Mmoja mdada Fulani wa Jamii Forums alifaidi kwa Yale mabaki ya Mkanda aliweza Kutengeneza Mkufu na Hereni nzuri za Silver.
Je food supliment gani Nizitumie ili nipate mafanikio?
Vipi Bei zake?
Side effects?
Wewe Unanishaurije? hata kama nimeamua Kutumia Nitaheshimu Mawazo ya Watu wengine pia juu ya Faida na Hasara za Supplements!
Bei gani hiyo mkuu? Na natakiwa kutumia chupa ngapi? na je nikishatumia na kupata matokeo ndio basi au nitatakiwa kutumia kila mara?.Google kitu kinaitwa (whey protein)
Ni ya USA unaweza icheki pia YouTube ila ukiitaka hapa bongo nichek utojutia
iPhone 7 /A1786)
[emoji23]Nunua vitabu ujaze akili badala ya kuhangaika kujaza kigimbi