Wakuu natarajia kupanda hichi kidubwana naomba michango yenu.

Wakuu natarajia kupanda hichi kidubwana naomba michango yenu.

BabaMorgan

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2017
Posts
4,869
Reaction score
13,137
Mniwie radhi wakuu nimekuja kwa Anko hapa Mwanza nikaona hiki kidubwana kwenye Tv ningemwambia Anko ninawish kukipanda akaniambia ofisini kwao kipo atanipeleka kesho saa 10 jioni Naomba mawazo yenu nijiandaeje.
images.jpg
 

Attachments

  • JamiiForums1867738212.jpg
    JamiiForums1867738212.jpg
    55 KB · Views: 12
Kwanini mnaichukulia Mwanza kama center ya ushamba nchini ?
 
haya bhana. nenda mall pale utaikukuta sikumbuki ila mara nyigi huwa inafungulia siku kukiwa busy sana
 
Back
Top Bottom