BabaMorgan JF-Expert Member Joined Dec 18, 2017 Posts 4,869 Reaction score 13,137 Aug 30, 2022 #1 Mniwie radhi wakuu nimekuja kwa Anko hapa Mwanza nikaona hiki kidubwana kwenye Tv ningemwambia Anko ninawish kukipanda akaniambia ofisini kwao kipo atanipeleka kesho saa 10 jioni Naomba mawazo yenu nijiandaeje. Attachments JamiiForums1867738212.jpg 55 KB · Views: 12
Mniwie radhi wakuu nimekuja kwa Anko hapa Mwanza nikaona hiki kidubwana kwenye Tv ningemwambia Anko ninawish kukipanda akaniambia ofisini kwao kipo atanipeleka kesho saa 10 jioni Naomba mawazo yenu nijiandaeje.
Basi Nenda JF-Expert Member Joined Jul 29, 2017 Posts 20,774 Reaction score 47,866 Aug 30, 2022 #2 Kwanini mnaichukulia Mwanza kama center ya ushamba nchini ?
wa kupuliza JF-Expert Member Joined Jun 15, 2012 Posts 15,216 Reaction score 37,757 Aug 30, 2022 #3 Ukifika bonyeza*102# itakupandisha mpk kuu.
Kunguru wa Manzese JF-Expert Member Joined Apr 20, 2016 Posts 12,729 Reaction score 18,119 Aug 30, 2022 #4 Basi Nenda said: Kwanini mnaichukulia Mwanza kama center ya ushamba nchini ? Click to expand... Kwa sababu wenyeji wa huko ni wasukuma
Basi Nenda said: Kwanini mnaichukulia Mwanza kama center ya ushamba nchini ? Click to expand... Kwa sababu wenyeji wa huko ni wasukuma
royal tourtz JF-Expert Member Joined Mar 11, 2014 Posts 255 Reaction score 326 Aug 30, 2022 #5 haya bhana. nenda mall pale utaikukuta sikumbuki ila mara nyigi huwa inafungulia siku kukiwa busy sana
haya bhana. nenda mall pale utaikukuta sikumbuki ila mara nyigi huwa inafungulia siku kukiwa busy sana