Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nadhani ameolewa na ana watoto wa3 kama skoseiWakuu natarajia mwaka huu usiishe nikiwa nimeoa kabisa na Kutulia nampenda sana huyu Binti mwenye mawasiliano nae tafadhari nitafurahi sana
Ni presenter pale Azam View attachment 2769327View attachment 2769329View attachment 2769330
Upo mjini au kijijinSafi sana basi anastahili ila ni chuma kweli Asante kwa taarifa mkuu
sasa mkuu,Safi sana basi anastahili ila ni chuma kweli Asante kwa taarifa mkuu
Ahsante sana kwa compliment Uhurumoja, tuko pamojaIrene Haule kama uko humu tafadhari nicheki hiyo rangi na shingo ni adhimu sana
unalipa kwa uhakika zaidi yaaniYah nataka kuanzisha huu utaratibu mapema iwezekenavyo
Ahsante sana brother, nashukuru.....Hahaha Evelyn kama ni wewe basi heshima kwako mkuu una rangi Moja matata sana
Umebabaikia niniGoms dar nadhani sio kijijini sana
Kawaida sanaRangi shingo na shape flani stable na move
Uzuri wa mtu upo kwa muonajiKwangu hapana na dental formula iko poa sana angalia kinywa hicho mkuu