Wakuu natarajia mwaka huu usiishe nikiwa nimeoa kabisa na Kutulia nampenda sana huyu Binti

uhurumoja

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2014
Posts
9,616
Reaction score
22,521
Wakuu natarajia mwaka huu usiishe nikiwa nimeoa kabisa na Kutulia nampenda sana huyu Binti mwenye mawasiliano nae tafadhari nitafurahi sana
Ni presenter pale Azam
 
sasa mkuu,
uwe unaenda kusali basi, lakini pia kushiriki warsha, semina na makongamano mbalimbali ya vijana huko ni unawaona na kuzungumza nao live kabisa sio kwenye TV
Yah nataka kuanzisha huu utaratibu mapema iwezekenavyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…