Jstar1
JF-Expert Member
- Aug 1, 2019
- 1,391
- 1,347
Wakuu kama kichwa cha habari kilivo, JF kuna watoto wazuri bhana, kuna mtoto mmoja nmebahatika kujuana nae vizuri,
msiulize kama nshonana nae au bado, kiumri naona tunakarbiana, mtoto kaumbika, mtoto mashalah analipa, mtoto ana future, mtoto kanipa ukweli wote.
sasa wakuu kaka angu zero iq, kaamua kuoa mtoto wa diwani, basi na mimi ule msako wangu nasitisha kwanza, nmeahamia kwa no.8, saivi nmeamua kutulia kama maji mtungini, ila kidogo ntauzidi mtungi, maana wenyewe ukiutiksa na maji yanatikisika.
Sasa mimi ntatulia na mtoto wa watu, kwenye maisha kuna up and down, nmecheza sana, sikuwai kua na bintu wa malengo, na skuwai kufikilia, ioa nilivokapuku, le nmeangukia kwa mtoto basi na mimi, mniombeeni.
ila msiniombee yawe kama ya akina cutelove, na demiss, na wale wanaume wenzangu, mimi sio baharia wa mvuvi, Leo nmeokota apple JF, JF ibarikiwe sana, umu kua wanarembo asikwambie mtu