Wakuu ni dawa gani nzuri zaidi kwa ajili ya kuua wadudu?

VanDon

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2013
Posts
396
Reaction score
680
Msaada kwenye tuta.

Wakuu ni dawa gani nzuri zaidi kwa ajili ya kuua wadudu wakiwemo mchwa, mende, kunguni na wote wanaotambaa na kuruka.
 
Deltamethrin
Kanunue Deltaforce trade name.
 
Back
Top Bottom