Wakuu ni mitaa gani hapa DSM nikienda kila dakika nitakuwa naliamsha dude?

Wakuu ni mitaa gani hapa DSM nikienda kila dakika nitakuwa naliamsha dude?

Kijana Wa Dar

Member
Joined
Sep 22, 2016
Posts
98
Reaction score
216
Taja mtaa maarufu unaoufahamu kuwa kuliamsha dude ni jambo la kawaida tu niripoti huko kujizolea warembo

Kijana Wa Dar
 
Aisee.

Njoo nikupe erector hapa, utaliamsha popote hata kwenye daladala
 
Nenda nyamala, na bar za maeneo hayo at any time
Tanguliza pesa mbele tu kama tai
Nyapu ya bure nenda kwa mkeo

Mpe anae kupa
 
ID yako haisadifu,kumbe mshamba tu yet unajiita kijana wa dar. Badilisha Id niite wa nanjirinji
 
Back
Top Bottom