Shooter Again
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 5,603
- 9,263
Unauliza kama ni sahihi halafu unahitimisha kwamba anatafuta ugomvi na Serikali.Wakuu kama kichwa Cha habari kinavyosema ni sahihi kujenga juu ya beacon ya halmashauribiliyowekwa Kwa ajili ya barabara ya mtaa maana Kuna jirani yangu anajenga hivi maana naona kama anatafuta ugomvi na serikali
Mimi sijasomaUnauliza kama ni sahihi halafu unahitimisha kwamba anatafuta ugomvi na Serikali.
Hizi Shule sijui kama zinatusaidia au zinatuangamiza
Huyu mbona kama ni mimiWakuu kama kichwa Cha habari kinavyosema ni sahihi kujenga juu ya beacon ya halmashauribiliyowekwa Kwa ajili ya barabara ya mtaa maana Kuna jirani yangu anajenga hivi maana naona kama anatafuta ugomvi na serikali
Na wewe umejengea kwenye beaconHuyu mbona kama ni mimi
Ngoja nifuatilie kwa ukaribu
Huo msingi ni kama ni wakwangu yani vile vileNa wewe umejengea kwenye beacon
Logically wote mkijenga kwa kuikwepa beacon means mtazalisha vichochoro vya kufuga wezi na gesti bubu pia vijiwe vya bangi.Wakuu kama kichwa Cha habari kinavyosema ni sahihi kujenga juu ya beacon ya halmashauribiliyowekwa Kwa ajili ya barabara ya mtaa maana Kuna jirani yangu anajenga hivi maana naona kama anatafuta ugomvi na serikali.
View attachment 3173116
Tupe sheria inatakaje?Hiyo sio sahihi, Huyo jamaa ana asili ya utata tu.
Kutoka kwenye bicon lazima muachiane Mita1 kila mmoja, Iwepo chochoro katikati kwaajili ya kupitisha miundombinu [Maji, umeme, Networkcables] huko mbeleni.Tupe sheria inatakaje?
Hakuna hiyo sheria... hizo ni setbacks za namna ya kujenga nyumba sio ukuta au uzioKutoka kwenye bicon lazima muachiane Mita1 kila mmoja, Iwepo chochoro katikati kwaajili ya kupitisha miundombinu [Maji, umeme, Networkcables] huko mbeleni.
DuuhHakuna hiyo sheria... hizo ni setbacks za namna ya kujenga nyumba sio ukuta au uzio
Kasome tena sheria ya mipango miji mkuu
Sawa mkuuHakuna hiyo sheria... hizo ni setbacks za namna ya kujenga nyumba sio ukuta au uzio
Kasome tena sheria ya mipango miji mkuu