matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 7,968
- 19,368
Nimepita mitaani na masokoni nimegundua watu wengi wanabidhaa nzuri lakini hawajui kuziwekea manjonjo na katika vifungashio vya kijanja tamanishi kwa wateja.
Nimejipanga kuanza kununua bidhaa zilizohalilishwa na Zisizohalali (hazijapitia TFDA) nafungua makasha natupa. Ila ile content naiweka katika vifungashio vyangu vyenye sifa zangu (Navitafiti bado) Kisha naiingiza bidhaa sokoni kwa bei ya juu kidogo.
Hii bidhaa kwa sababu sijatumika kuiandaa, japo nimeinunua nitakuwa niko sahihi kisheria wakuu.