matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 7,968
- 19,368
Kama ni hvyo ni bora kuongea na wazalishaji wakuuzie bila vifungashio then wewe unachofanya ni kama kuongeza mnyororo wa thamani kwa kuboresha unapoona kuna weakness invluding packaging!Nimepita mitaani na masokoni nimegundua watu wengi wanabidhaa nzuri lakini wawajui kuziwekea manjonjo na ktk vifungashio vya kijanja tamanishi kwa wateja.
nimejipanga kuanza kununua bidhaa zilizohalilishwa na Zisizohalali (hazijapitia TFDA) nafungua makasha natupa. ila ile content naiweka katika vifungashio vyangu vyenye sifa zangu (Navitafiti bado) Kisha naiinhiza bidhaa sokoni kwa bei ya juu kidogo.
Hii bidhaa kwa sababu sijatumika kuiandaa, japo nimeinunua nitakuwa niko sahihi kisheria wakuu.
umemaliza mkuu. ngoja nianze from skrachiDon’t even think about it
Yani mfano umefunga sukari ya kilo 1 au nusu kwenye vifungashio quality, utashitakiwa.?!In fact ni kweli, utakuwa hatiani kisheria. Tena haswa, wahusika wa bidhaa hizo utakazo zitumia, wakapata taarifa juu ya hiko unachokifanya, then wakaamua kula sahani moja na wewe kisheria.
Mind you kwenye biashara, kuna vifungu vya utamburisho wa umiliki wa bidhaa husika. Normally vifungu hivyo vinasimamiwa na mamlaka fulani, katika nchi husika. Mfano kwa hapa Tanzania, tuna Brela....
Be carefully.
hapa kuna utata.Yani mfano umefunga sukari ya kilo 1 au nusu kwenye vifungashio quality, utashitakiwa.?!