Wakuu nimebadili jina langu kutoka Mohamedex121 na sasa nitakuwa natumia jina la Mohamed Mtaleban

Wakuu nimebadili jina langu kutoka Mohamedex121 na sasa nitakuwa natumia jina la Mohamed Mtaleban

Mohamedex121

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2022
Posts
1,725
Reaction score
3,271
Salaam wakuu natumaini humu nyote ni wazima wa afya.

Kwa sasa jina langu nililokuwa nalitumia mwanzo la Mohamedex121 nimeamua kulichange na sasa mnaweza kunipata katika threads kama Mohamed Mtaleban, id ni ile ile pia cover picha ni ile ile kilichobadilika ni jina

#Natanguliza shukurani wakuu
 
Unataka ukalipue balozi za nchi gani??
 
Back
Top Bottom