Mohamedex121
JF-Expert Member
- Jan 27, 2022
- 1,725
- 3,271
Jina la mwanzo sikulipenda kulitumia kutokana na kuendana na jina la account yangu ya Google hivo nikaona ni badilisheKwanini umeamua kubadili jina?
Jamani nimeongeza jina la Mtaleban kutokana na kuipenda hichi kikundi cha wapiganaji kwaajili ya taifa lao, pia sheria zao za kimaisha naziunga mkono na sio kwamba nataka kwenda kujilipua huko ubaloziniUnataka ukalipue balozi za nchi gani??
Ndio mkuu ni mimi mwenyewe kabisaPichani ni wewe?
Namana ya kubadili Jina ( hatuna za kifuata)Ndio mkuu ni mimi mwenyewe kabisa
Nakazia hapa..Namana ya kubadili Jina ( hatuna za kifuata)