Wakuu nimekula chumvi asee msaada naogopa mbaya

Wakuu nimekula chumvi asee msaada naogopa mbaya

Kapepo

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2015
Posts
1,066
Reaction score
1,194
Habari wakubwa asee marakwanza kwenda chumvini sasa juzi nimeangalia kwenye kinywa changu nimeogopa mno asee sijui nshapata wadudu naombeni dawa kwa wazoefu wa hizi kazi
IMG_20180703_152015.JPG
 
Mna tafuta nini huko? Sasa hayo mambo ya kiamia kwenye koo tutakupoteza mwanachama wa jf. Msiwaige kina mandigo
 
Kuna mademu wa kuzama chumvini sio kila demu ona sasa umepata kisonono cha kolomeo na ulimi
 
Chumvini ni hatari sana kwenda,tena kwa hawa wadada wa kibongo wanaofuga kucha..na wale wanaotumia vyoo vya low standard..

Hao ni candida mkuu..wahi mapema uanze dozi ya maybe nystatin oral,..au kama fluconazole.

Pia unaweza kuwahi hospital kupata ushauri mzuri zaidi
 
Chumvi gani hii King Majuto anapigia upatu??
 
hamna raha kuzama chumvini na kupiga deki kama ukimpata mwanamke msafi utafaidi sana na hutopata taabu sanaa....wadada wasafi wanajua huo mziki maana nilishawahi zama chumvini pamoja na kupiga deki kwa muda wa masaa sita na sijawahi achwa hadi leo........chumvini hoyeeeeeee......cc mawaya
 
Mkuu cha kwanzq kabisa nakushauri ukapime ngoma a.k.a ukimwi....huu ni ushauri wa kitaalamu kabisa maana sio kawaida kwa mtu ambaye ni immunocompitent kupata fungus mdomoni...

Pia ukirefer nyuzi zako za nje unaonesha immunity yako imeyumba...

Fanya upime ngoma ili utibu tatizo zima na sio hizo fungal tu
 
pole sana kaka, usiwe unavamia tu wengine wanatakataka huko chumvini
sasa hapo hospital inahusika
 
Mkuu cha kwanzq kabisa nakushauri ukapime ngoma a.k.a ukimwi....huu ni ushauri wa kitaalamu kabisa maana sio kawaida kwa mtu ambaye ni immunocompitent kupata fungus mdomoni...

Pia ukirefer nyuzi zako za nje unaonesha immunity yako imeyumba...

Fanya upime ngoma ili utibu tatizo zima na sio hizo fungal tu
Tayari mkuu ngoma nshachek niko safe
 
POLE sana mzee... wapo RAIA humu.. wanajifanya " ULIKUWA UNATAFUTA NINI HUKO " Wakati wao ndio wale wale... nenda hospital mapema.. sas sijui utaanzaje kumwambia DAKTARI.. hehehe pole sana kaka... mungu yupo atashusha baraka zake
 
Hospital nlienda kaka daktari akaniambia kwamba Hawa sio fungus ni kitu kinaitwa geographic tongue ila mm nimekuwa na wasiwasi sana baada ya kukutana na huyo binti kama mienz mitatu iliyopita
 
Back
Top Bottom