Yani umepewa euro 5200 alafu upate laki 7?Wakuu nimepata zali na mtot wa kituruki ameniachia noti mbili 5200
Sas natafuta sehemu au bureau ambayo naweza kubadilisha fedha hzo nizipate za kitaanzania
Naombeni msaada Ni bureau ipi Ina trade na pesa za kituruki ili nikachukue kitita changu mnk nimeoan Kama nitapat Kam laki Saba HV za kibongo
Plz assist ASAP
uturuki wanatumia Euro?Yani umepewa euro 5200 alafu upate laki 7?
Hiyo ni Ruble mkuu hela ya Urusi.
Noti mbili z Euro 5200 ina maana kuna noti yenye thamani ya Euro 2600?Wakuu nimepata zali na mtot wa kituruki ameniachia noti mbili 5200
Sas natafuta sehemu au bureau ambayo naweza kubadilisha fedha hzo nizipate za kitaanzania
Naombeni msaada Ni bureau ipi Ina trade na pesa za kituruki ili nikachukue kitita changu mnk nimeoan Kama nitapat Kam laki Saba HV za kibongo
Plz assist ASAP
View attachment 2244612View attachment 2244613View attachment 2244614View attachment 2244615
Kama TZS180000 hivi
Niangalie nini mzee. Unaijua symbol ya Pound (£) na thamani ya pound unaijua.Angali vzr mkuu
Hela yao km ya Zimbabwe tuuturuki wanatumia Euro?