St. Paka Mweusi
JF-Expert Member
- Sep 3, 2010
- 7,956
- 5,149
Ulikuwa unaibiwa mchana kweupe. May be foreplay yako ilikuwa nzuri ila kama ilikuwa shallow na kakuambia hivyo mhh nina wasi wasi hapo

Katika yale mambo yetu ilinitokea mwenzangu kuwa ananihabarisha kila kinachoendelea,sababu sifa yake kuu ilikuwa ni kuongea kwa kulalamika wakati wa shughuli.Kilichonishangaza ni kuwa mwenzangu alinihabarisha mara nne kuwa nimemfikisha palipo kabla hata mimi sijamaliza awamu ya kwanza.Sasa ninajuliza inawezekana?Na kuna yeyote ambaye alishatokewa na hali hiyo?Au ilikuwa ni njia ya kuhakikisha kuwa mtakatifu anaibiwa vizuri?

Ulikuwa unaibiwa mchana kweupe. May be foreplay yako ilikuwa nzuri ila kama ilikuwa shallow na kakuambia hivyo mhh nina wasi wasi hapo
Inaonekana mkubwa ni mtaalam sana wa kuzigusa kuta za uke,ndio maana mwana mama anafikia kileleni mara nne, usimuache huyo, kuna wengine hata mara moja hatujawasikia kufika kileleni.Huyo kama ni mwizi basi ni mwizi mzuri......!!Katika yale mambo yetu ilinitokea mwenzangu kuwa ananihabarisha kila kinachoendelea,sababu sifa yake kuu ilikuwa ni kuongea kwa kulalamika wakati wa shughuli.Kilichonishangaza ni kuwa mwenzangu alinihabarisha mara nne kuwa nimemfikisha palipo kabla hata mimi sijamaliza awamu ya kwanza.Sasa ninajuliza inawezekana?Na kuna yeyote ambaye alishatokewa na hali hiyo?Au ilikuwa ni njia ya kuhakikisha kuwa mtakatifu anaibiwa vizuri?
Mmm! huyu hata kudanganya hajua na hata kama alitoka jela basi mara nne hata haja vuta pumzi? alitaka pesa ya kwendea Twanga pepeta.
HBO nao kwa marudioSamahani wakuu nimerudi nilikuwa natazama Tomorrow never dies,sasa tuendelee

Lakini kaka mimi mwenyewe nina tatizo yaani first round chini ya dk 3o bado sijaimaliza na wakati mwingine inakwenda mpaka 45 dk na ndio maana nikaona nipate msaada kwa huyu mwenzangu.

Paka Mweusi, apart from hard drinks, do you take a 'spliff' or anything of that kind before mounting your bike?
There must be something unusual somewhere, au unavaa double protection? Hapa stimulation huwezi pata.