godfrey_avya
Senior Member
- Feb 25, 2014
- 131
- 24
wakuu kipindi kilichopita meno yangu ya mbele yalikuwa na weusi flani ivi pembezoni mwa jino la kwanza na lapili,ikabidi nizibe hospitali basi nikamua kuziba sasa kila yakibomoka naziba yapata mara ya tatu sasa na yamefikawmwisho.
naomba ushauri wenu wakuu nifanyeje?
naomba ushauri wenu wakuu nifanyeje?