Wakuu nipeni michongo ya pesa ndefu

Mohamedex121

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2022
Posts
1,725
Reaction score
3,271
Wakuu poleni na majukumu! Ni mimi kijana wenu humu jamiiforums, kama mnavyojua now baadhi ya vijana kama mimi ndio tumemaliza chuo tumerudi mtaani japo harakati huku mtaani hazisomeki.

Bila kupoteza muda wakuu nisaidieni kuniunganisha na michongo yoyote ile ilimradi iwe ya pesa ndefu kama ni ajira wakuu nitashukuru sana maana nina diploma ya Accounting and finance na bado nasubiria cheti changu cha degree mwezi wa 12 mwaka huu

Pia kama kuna biashara za pesa ndefu wakuu mnaweza kuniajiri kama Accountant officer pia ninao uzoefu wa marketing and sales kikubwa biashara iwe na mauzo atleast 100m per a day

#Natanguliza_shukran_wakuu
 
Ukitaka uandike 10k per dat ukachapia au umedhamiria kusema 100m per day?

Anyways kuna jela na kuna guest (lodge)
Nimerekebisha mkuu hapo kwenye uzi wangu nilikuwa nasema biashara iwe na mauzo atleast 100m per day. Kuhusu mshahara ni makubaliano mkuu
 
100m per day[emoji2],, anyway unakitu utafika mbali[emoji18]
Mshahara ni makubaliano mkuu kuhusu huo 100m hiyo ni mauzo ya kwenye biashara ya tajiri anayetaka kuniajiri maana ninao ujuzi ya kumanage business
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…