Wakuu nipeni michongo ya pesa ndefu

[emoji1787][emoji1787]dogo we jiajiri tu, serikalin hakuna michongo ya 100 m per day,labda uwe mwizi,na ukiwa mwizi dakika sifuri tunakudaba [emoji1787][emoji1787]
Nimeshajiajiri mkuu but now nakaribia kufilisika baada ya wateja kupungua ndio maana nimeomba niajiriwe. Kuhusu wizi mimi sijafundishwa kuiba Aisee mimi ni mwislamu swala tano
 
Mshahara ni makubaliano mkuu kuhusu huo 100m hiyo ni mauzo ya kwenye biashara ya tajiri anayetaka kuniajiri maana ninao ujuzi ya kumanage business
Una ujuzi wa kumanage business lakini hapo juu umekiri kuwa biashara yako imekushinda !!!
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]anamaanisha uwe mwizi tukupeleke jela,au uamue kuuza ndogo , location inakuwa guest(lodge)[emoji1787]it's up to you.
[emoji23][emoji23]hapana kwakweli nashukuru kwa mawazo yenu
 
Una ujuzi wa kumanage business lakini hapo juu umekiri kuwa biashara yako imekushinda !!!
Shida ya biashara yangu ni kukosa wateja sijajua ni kwasababu ya competition au ni ushirikina nashindwa kuelewa
 
Leteni michongo hiyo wakuu bado nayasikiliza mawazo yenu
 
Sasa huo ujuzi wako wa kumanage business upo kwenye angle ipi ikiwa umeshindwa kuongeza customers??
Mkuu kuna nguvu za giza fikiria na hilo pia. Maana hapa ninapofanyia biashara nimezungukwa na watu wenye wivu na kupenda kuiga iga biashara za watu
 
hela ndefu labda uibe, ila hiyo elimu yako kihalali huwezi pata hela ndefu
 
Leteni michongo hiyo wakuu bado nayasikiliza mawazo yenu
Tafuta shamba huko ndani ndani kalime bangi utatoboa maana hata hazihtaji dawa za wadudu, maana kila mchongo wa pesa ndefu watu washaushika na wanapeana conection kwa kujuana na kuaminiana c kujuana mtandaon
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…