Hey all great thinkers!
Wana jf kutokana na wizara ya Afya kuzichelewesha post za selection naombeni mnishauri tu niende private au nisubiri kwa kuwa hawa jamaa cjui attention yao iko wapi mpaka muda huu ilhali kunatetesi kuwa wanaingiza usanii na steel mi sina hata refa .
Na pia wanadai walioomba ni wengi hii naona inachangia wengi wawaombaji whatever mtu unavigezo lakini chance ni ndogo ikiwemo uchakachuaji.
Wana jf niende tu private au nisubiri tu?? naukicheki vyuo vingi vya private vimeshaanza mafunzo.