Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
Kama huna la kujibu ni vyema ukakaa kimya.Yaani wewe unatoka darasani, unakuja kuuliza maswali mtaani?..
Mkuu hata sijui ni aina gani kwa kweliUmeuliza swali zuri...Je anaumri gani?ni aina gani ya mbwa?kama amezidi wiki 4 muulizie kama amempa chanjo ya DHLP?Dawa ya minyoo pia.Naomba tuanzie hapa na kwaushauri nichek 0686 666666 mimi pia nafuga mbwa

Acheni utani kwenye mambo ya msingiChakula chake kikuu ni maini pamoja na nyama za steki