Wakuu nipokeeni

Wakuu nipokeeni

karibu kijana. Umejiunga tarehe 28 July leo ndo umeamua kunena nasi?
Baass saaaaawaaaaaaaaaaaa....
Karibu mgeni. Jisikie upo ugenini kabisaaaaaaaaaaaaa.
Hapa sio kwenu.
Karibu karibu karibu. Bujibuji atakupa juisi ya miwa, MziziMkavu atakupa maji ya moto ya kunywa ambayo yanatibu takribani magonjwa 27, gfsonwin atakusaidia kupunguza munkari, lara 1 atakupa kitchen party haswaaaa, Baba V ana hekima ingawa hana elimu kwa hiyo usijali, King Kong III atakusaidia usionewe na vijamaa vya humu ndani, King'asti atasaidia hapa na pale, MadameX nae na mwenzie Heaven on earth watakava palipo pungua kukufanya uendelee kucheka na kufurahia, Mtambuzi atakusaidia vema kujua saikolojia ya mahusiano.
Karibu Karibu
 
Last edited by a moderator:
Mkuu.@muhomakilo jr Karibu sana kwenye Jukwaa letu la Jamii forums kabla ya yote jaribu kusoma Sheria zetu kwenye Hili jukwaa letu tukufu.

SHERIA NA KANUNI ZA JAMII FORUMS

Tafadhali jiepushe na mambo yafuatayo:

1. Kumvunjia heshima, kumkejeli, kumtukana, mjumbe yeyote.

2. Kuleta katika JAMII FORUMS maelezo yenye maudhui mabaya, au kuweza kuleta maudhi yoyote kwa wajumbe ama kwa wingi wake, ukubwa wake, au mfumo wake.

3. Kuleta makala au kuendeleza mijadala yenye kuleta ugomvi, uchochezi na yenye muelekeo wa kutengenishana badala ya kuungana miongoni mwa wajumbe wa JAMII FORUMS na Watanzania wote kwa ujumla.

4. Kuleta maongezi binafsi baina ya mwanachama na mwanachama (waliojisajili) waliyoongea kwa kuaminiana kutoka katika Private Messages (PM) au barua pepe (Emails) na kuyaanika hadharani kwa nia ya kuchafuana.

5. Kusambaza kwa makusudi au kwa uzembe barua zenye virusi vya kompyuta.

6. Kutoa maelezo au shutuma dhidi ya mwanachama mwenzako, kiongozi wa au watu wenye hadhi kijamii bila kuwa na ushahidi wa kutosha kwa lengo la kuchafua rekodi safi ya mhusika kijamii.

7. Ni sharti kwa kila mwanachama kutoa maelezo au mchango wake kwa uwazi na ukweli na kutomuogopa yeyote wala kumpendelea yeyote bali kuweka mbele maslahi ya taifa.

8. Kila mwanachama yupo huru kutoa maoni yake mradi yaliyotajwa hapo juu yanazingatiwa.

Hatua za kinidhamu zinaweza kuchukuliwa dhidi ya yeyote yule atakayeshindwa kuzingatia maelezo hayo hapo juu.

JF.Admin
 
hekimatele, nimeishiwa juice ya miwa, nimebakiwa na juice ya vitunguu swaumu tu, ambayo mama Terry anasema tuinywe kwa wingi ili kuifanya afya yetu iimarike

karibu kijana. Umejiunga tarehe 28 July leo ndo umeamua kunena nasi?
Baass saaaaawaaaaaaaaaaaa....
Karibu mgeni. Jisikie upo ugenini kabisaaaaaaaaaaaaa.
Hapa sio kwenu.
Karibu karibu karibu. Bujibuji atakupa juisi ya miwa, MziziMkavu atakupa maji ya moto ya kunywa ambayo yanatibu takribani magonjwa 27, gfsonwin atakusaidia kupunguza munkari, lara 1 atakupa kitchen party haswaaaa, Baba V ana hekima ingawa hana elimu kwa hiyo usijali, King Kong III atakusaidia usionewe na vijamaa vya humu ndani, King'asti atasaidia hapa na pale, MadameX nae na mwenzie Heaven on earth watakava palipo pungua kukufanya uendelee kucheka na kufurahia, Mtambuzi atakusaidia vema kujua saikolojia ya mahusiano.
Karibu Karibu
 
Last edited by a moderator:
Bujibuji mpe mgeni juice ya limao yenye punge moja ya kitunguu swaumu kilichosagwa, tangawizi kipande kidogo, na chumvi kijiko kimoja. ongeza maji hadi ifike nusu glasi.

ONYO: utumiapo juice hii uwe karibu na choo manake itaongeza OP tumboni so utafungulia diarrhea,
 
Last edited by a moderator:
karibu kijana. Umejiunga tarehe 28 July leo ndo umeamua kunena nasi?
Baass saaaaawaaaaaaaaaaaa....
Karibu mgeni. Jisikie upo ugenini kabisaaaaaaaaaaaaa.
Hapa sio kwenu.
Karibu karibu karibu. Bujibuji atakupa juisi ya miwa, MziziMkavu atakupa maji ya moto ya kunywa ambayo yanatibu takribani magonjwa 27, gfsonwin atakusaidia kupunguza munkari, lara 1 atakupa kitchen party haswaaaa, Baba V ana hekima ingawa hana elimu kwa hiyo usijali, King Kong III atakusaidia usionewe na vijamaa vya humu ndani, King'asti atasaidia hapa na pale, MadameX nae na mwenzie Heaven on earth watakava palipo pungua kukufanya uendelee kucheka na kufurahia, Mtambuzi atakusaidia vema kujua saikolojia ya mahusiano.
Karibu Karibu

mwambie mgeni akaribie na ndani apite
kimwana niko hapa namtengenezea juice ya ukwaju......
 
Back
Top Bottom