Wakuu nisaidieni hili tatizo

Wakuu nisaidieni hili tatizo

Kizwili

Member
Joined
Feb 19, 2012
Posts
39
Reaction score
2
Jamani nina mtoto wangu ana three ya 24 .kisw C,eng C,Bios B,phy D, chem D,the rest ana D zote.kombi ya kwanza alijaza CBG .anaweza kuchaguliwa kombi gani
 
Jamani nina mtoto wangu ana three ya 24 .kisw C,eng C,Bios B,phy D, chem D,the rest ana D zote.kombi ya kwanza alijaza CBG .anaweza kuchaguliwa kombi gani

hapo hawezi kuchaguliwa mkuu kombi yoyote, hana crdt za kombi zimegoma. Jiandae kumtafutia Private school. N:B, km ni wa kike ataweza kuchaguliwa cz mwaka huu wamefeli sana.
 
Kwani cömb za sayansi wanachukua kuanzia point ngapi?
 
Back
Top Bottom