Jamani nina mtoto wangu ana three ya 24 .kisw C,eng C,Bios B,phy D, chem D,the rest ana D zote.kombi ya kwanza alijaza CBG .anaweza kuchaguliwa kombi gani

hapo hawezi kuchaguliwa mkuu kombi yoyote, hana crdt za kombi zimegoma. Jiandae kumtafutia Private school. N:B, km ni wa kike ataweza kuchaguliwa cz mwaka huu wamefeli sana.