Wakuu nitoeni ukungu kuhusu majina haya ya siku kwa Kiingereza,yananipa wakati mgumu kidogo

KennedyMmari

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2012
Posts
979
Reaction score
187
Ndugu wanaJF,sote tunajua majina ya siku zote saba za week kuwa ni;
1.Mon-day
2.Tues-day
3.Wednes-day
4.Thurs-day
5.Fri-day
6.Satur-day
7.Sun-day.
Sasa najiuliza sana,maana ya Mon,Tues,Wednes,Thurs,Fri,Satur na Sun ni nini?????

Sote tunajua maana ya neneo "DAY"
 

In short hiyo ni miungu ya kipagani!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…