Wakuu!! Njooni hapa tuongee na Fareed kubanda (Fid Q)

-KANA-, post: 29313036, member: 429014"]Sasa mkuu, ulitaka mleta mada atoe mtizamo wa nani kama sio mtizamo wake?

Je, kuwepo kwenye chat kwa miaka 18 kumemsaidia nini Fid Q kiuchumi kulinganisha na wasanii wengine?
Fid q wewe umemjua kupitia mziki lakin nashangaa mnavyotaka kumfatilia maisha yake ya ndani Tabia za kike sip poa.[/QUOTE]Samahani mkuu, huwezi kujadili kwa hoja bila kutoa lugha isiyofaa?

Hebu weka hoja tujadili bila kukoseana heshima.

Hao wanawake unaowataja ni mama zetu na dada zetu pia. Kutumia jinsia yao kama neno la kashfa haipendezi.
 
nipe ruksa nimtumie in direct massage instagram
 
Good day Fareed Kubanda!



I love you bru Fareed..!

Ushauri mzuri na naamini wewe utakuwa namba one fan wa Fid. Sasa nakuuliza swali moja. Ukisema Yes basi Fid afuate ushauri huu. Ukisema No basi wewe ni mzandiki tu ambaye pengine upo upande mwingine na hukupenda Fid kushikamana na upande usioupenda. Swali liko hivi, je wewe ukiwa namba one fan wa Fid Q umeshawashi kumsapoti kwa kununua kazi yakee hata moja. Maana mnampa ushauri halafu mwisho wa siku mnamtelekeza. Bongo hakuna loyal fans hata kidogo .Anzeni kwa kununua kazi zake kama kweliemnataka awe msanii independent otherwise hizi ni abracadabraa. Haiwezekani useme unaamini katika uwezo wake halafu hununui kazi zake. Inakuwa ni unafiki tu.
 
We jamaa wewe...Alishasanda mda huyoo...

Hawezi simama mwenyewe tena.


Kama huamini mwambie apige show mwenyewe. Hatapata watu zaidi ya kumi.

Usimpotoshe akawatosa Clouds...ndio wanaomuweka mjini.
 
Nash MC mwenyewe anaandaa shoo zake na anakomaa iweje huyu fid ashindwe
Haishindikani kabisa mkuu! Hawezi kwenda vodacom kuomba sponsorship kwa ajili ya event yake wakamyima brandy yake inakopesheka na kuwekeka bond.

Hata akisimama yeye mwenyewe tu kwenye stage akagonga ngoma zake kuanzia huyu na yule hadi hii aliyotoa Jana maselabration inatosha kabisa watu kukesha na kupata thamani ya viingilio vyao walivyolipa.

Naamini huyu ngosha ana overconfidence na overestimation kwenye Kazi zake na pia hajielewi vizuri na haelewi concept ya mziki biashara katika zama hizi za globalization. Asipoamka ndani ya hii miaka miwili he will be done.
 
Dah.. We jamaa mitazamo yaKo!??

Ok..si mbaya lakin.. Its good to be optimist.

Unaweza nitajia hit song ya Fid in past tree years. Em tuanzie hapo kwanza.
 
Dah.. We jamaa mitazamo yaKo!??

Ok..si mbaya lakin.. Its good to be optimist.

Unaweza nitajia hit song ya Fid in past tree years. Em tuanzie hapo kwanza.
Mkuu! Fareed ni miongoni mwa wasanii wachache Tanzania wenye ngoma ambazo ni timeless.. Ngoma zenye roho na zinaishi. Trust me hata ikifika 2020 bado ikipigwa ngoma kama Fid Q. Com, Agosti 13 au Mwanza Mwanza, lazima zikusisimue nywele Kama kweli wewe ni mpenda hip hop.

Ni sawa na Bi kidude na ngoma yake muhogo wa jang'ombe..anakufa kidude ila ngoma haifi kamwe. Hivyo ngoma za Fareed for the past 3 years they don't matter.
 
Aixeee

Bax thawaa
..
 
Mleta maada umeongea kisomi sana natamani jamaa apate huu ushauri kama ulivo ,, sasa mimi namfahamu nitacopy huu ujumbe na kumtag instagram na mwishoni nitamwambia "thank me later"
Nimeukopi na kuweka kwa account yangu ya Instagram ya Habari Zote, naona amesoma na ameweka alama ya [emoji419] kwamba ameenda sawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…