Wakuu!! Njooni hapa tuongee na Fareed kubanda (Fid Q)

Ultimately fid a is grown man, whatever he is doing now will be benafit or haunt him for life
 
Kinachomuua Fid Q ni mentality ya utegemezi kwamba hawezi kufanya kitu bila uwepo wa watu flan flan...hii ina mcost!!
 
Good
 
Fareed anauekubalika na Obama leo bado anahangaika na Fiesta.

Uandishi wako unampa njia na hasira za kufanya kitu. Kama ujumbe huu utamfikia hakiyanani mwakani Fid Q atauanza kivingine. Kwa sasa wacha amalizie ratiba zake alizokiwa ameshaanzisha
 
Post ipo njema sana na inampa madini fid ila ina mapungufu, kuna muda ina mshauri awe katikati ili afanye kazi na kuna muda ina mwambia toka nenda kwa fulani.
 
Post ipo njema sana na inampa madini fid ila ina mapungufu, kuna muda ina mshauri awe katikati ili afanye kazi na kuna muda ina mwambia toka nenda kwa fulani.
Lengo la post sio kumchagulia upande na binafsi na discourage sana Fid kuwa undersupervision ya team flani bali namsisitiza zaidi Fareed ajitegemee maana yeye ni Brand na yeye ni taasisi yenye package na quality zote muhimu ambazo msanii anazotakiwa kumiliki.

Namtaka Fareed ajue sanaa ndogo tu ya branding na digital marketing ili afikie mafanikio maana kama Kazi nzuri anazo za kutosha.

Ndio maana mstari wa mwisho nikasema ... "Fid stuka... Game imenuka....kujitegemea ndo mzuka."
 
Fid Q inabidi awe mpole atafute management nzuri, yeye kama yeye sio mfanyabiashara. Bwana Kubanda angempata mtu kama Sallam SK angeingiza hela kwa brand yake hiyo. Kwa sasa Watu kama kina Mbosso na yule mwimba Qaswida wa Wasafi (Lavalava) muziki unawalipa kwa ratio kubwa ukilinganisha Talent zao kuliko kaka yetu Kubanda.
 
Natamani asome hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…