Wakuu njooni tujifunze kuongea kiarabu

matunduizi

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2018
Posts
7,968
Reaction score
19,368
wakuu binafsi napenda lugha japo sizijui.

njoo tujifunze /tujifundishe kiarabu

mrhbaan ya 'iikhwan
 
Tukijua tujiunge alshabab
hahaha
hiyo ñi lugha tu kama kindengereko, tatizo kuna jamaa wameivamia na kuifanya ya kupambania kwenye mambo ya kidini.
Ni sawa na kilatini kilivyogeuzwa lugha ya kidini wakati ni lugha tu kama KIHAYA.
 
Mh hii inabidi wakati wa kujifunza uwe hakuna kitu tumboni,maana nimejaribu naona kama chakula kinapanda...
 
Mtafute mwalimu, kiarabu siyo KIHAYA..ni kipana saaana yaani bahri... Mambo mengi we Acha Tu!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…