Wakuu pitieni hapa mnipe ushauri wa kisheria.

Ronee

Senior Member
Joined
Jun 1, 2018
Posts
155
Reaction score
155
Kuna mtu alionekana anazurura eneo langu la mradi wa mifugo, usiku wa siku hiyo nimeibiwa. Kuna mashahidi waliomuona mtu huyo. Je hiyo inatosha kumtia mhusika hatiani? Karibuni wanasheria
 
Ndio anatakiwa akamatwe akatoe maelezo.
Huyo alikuwa anachora ramani yake kwenye akili ili usiku aje afate mzigo.
 
Sio mbaya ukitoa taarifa polisi, lakini hiyo pekee haitoshi kuthibitisha beyond reasonable doubt, kwamba yeye ndio mwizi, ingawa circumstances, zinaweza mbana but lazima pawe na corraborative evidence, to support the circumstancial evidence. Ila Anza nae, atasaidia upelelezi.
 
Tayari nimeshamdaka mkuu, hii uliyotaja kama collaborative evidence ndio ndio inanipa wakati mgumu, though I'm sure kuwa mtu huyo ndio katenda tukio hilo maana ana historia hiyo.
 
Hiyo waachie Waendesha mashtaka kukusaidia, pamoja na watu wa upelelezi
 
Back
Top Bottom