nafanya research yangu flani hivi.naomba madiwani,wabunge,mawaziri,Prensidaa,wakuu wa wilaya,maafisa elimu,wakurugenzi na mataita vitengo mbalimbali serikalini wenye watoto wao shule za kata mnijuze humu JF na shule walizoko na majina ya shule hzo.tafadhali its nt a joke.naomba niwasilishe.