Wakuu shule nao ni tatizo kumbe....!

Bhihalo

Member
Joined
Aug 27, 2013
Posts
29
Reaction score
5
Kuna baadhi ya wakuu wa shule huko ndo kina Afisa elimu,Waziri wa Elimu n.k. Hivyo huwanyanyasa walimu kiasi kwamba wanaishi kwa shida. Je unadhani "big results now" itawezekana na ile hali mwalimu hana raha kituoni...? Naomba tutafakali.
 
eti "Big results now " ,watu wamejitengenezea mahali swaf pa kula hela..
Nchi ishauzwa hii.
 
Mbona hujiamini !mkuu wa shule anakunyanyasaje wakati wote mnalipwa mshahara kwenye payroll moja tena ikiwezekana mshahara sawa.

Sent from my BlackBerry 9700 using Jamii Forums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…