wakuu TPA wametoa nafasi za kazi, mwisho ni kesho saa Kumi na Nusu (10:30) Jioni

wakuu TPA wametoa nafasi za kazi, mwisho ni kesho saa Kumi na Nusu (10:30) Jioni

dubu

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2011
Posts
3,502
Reaction score
3,483
wakuu jana nilisikia mtaani kwamba tpa wametoa nafasi za kazi. ikabidi leo niende pale utumishi kwenye ubao wao wa matangazo. nikatuta kweli nafasi zipo. nafasi zilizo tangazwa ni;
Sailors, kalani class C, Radiographic, terminal tractor operator, high clerical officer, medical attendant, artisan medical, winch operator, mobile crane. Barua zinapokelewa office ya raslimali watu.
But hawajaweka address wala nini. leo nmekuta watu kama buku na nusu wamepeleka barua.
 
wakuu jana nilisikia mtaani kwamba tpa wametoa nafasi za kazi. ikabidi leo niende pale utumishi kwenye ubao wao wa matangazo. nikatuta kweli nafasi zipo. nafasi zilizo tangazwa ni;
Sailors, kalani class C, Radiographic, terminal tractor operator, high clerical officer, medical attendant, artisan medical, winch operator, mobile crane. Barua zinapokelewa office ya raslimali watu.
But hawajaweka address wala nini. UKIONA HIVYO KAZI ZA KUJUANA HIZO,PCCB WAKO WAPI?
 
mkuu hata wewe unaweza kuapply.
 
hapo mtu unaenda kwa ki memo anko,huko hata tukituma copy mbili mbili, zinawenyewe hizo kazi
 
kweli Tanzania ni zaidi ya uijuavyo ..watu bado wanaendesha vitu ki local namna hii..unaweza kukta hao wakubwa wao hata hizo e mail hawawezi kufungua
 
Saa kumi na moja wanafunga pazia,usiogope wenyewe ni mimi na wewe tusiogope peleka barua usisikilize maneno ya watu kwani kupeleka barua pale itakugharimu sh ngapi?
 
thanx kwa taarifa,nimepeleka mkuu bt wa2 nyomi kinomaaa. anyway 2ombe Mungu wazee..
 
Bora kujiajiri tu hata kuendesha boda boda kama mambo yenyewe ndo hivi
 
without a capital?
Dah,,this country now is not our home anymore

Akili kumkichwa........Fikiri pasua ubongo kiuhakika...watu wanaanza from scratch hawana kitu mwisho wa siku mtu anatoka ki utani utani tu (na siku zote mtu hakuambii password ya mafanikio yake hata siku moja). It just needs to be at tha right place at tha right time...
 
Bora kujiajiri tu hata kuendesha boda boda kama mambo yenyewe ndo hivi

Na tatzo la wabongo U sharo mwingi....mtu kamaliza bachelor yake chuo...hana kazi yeyote...ukimpa hata bajaj/boda boda abangaize for tha time being anaona NOMA !!! ukitaka mafanikio mtu lazima ukubali kuhangaika na kuteseka...mwisho wa siku MUNGU anakushushia mkate mikononi mwako. watu wanatoka mbali ati...usione mtu ana push Sports hse street ukafkiri vimekuja ki rahisi rahisi tu.
 
bora kujenga daraaaaja kuliko ukuta, nikipata nauuuuli mjomba mjini nitakufuata iyeeeee mjomba iyeeeee...TPA, PSPF, BOT na kwingineko bendera ya ki-memo oyeeeee
 
Back
Top Bottom