wakuu jana nilisikia mtaani kwamba tpa wametoa nafasi za kazi. ikabidi leo niende pale utumishi kwenye ubao wao wa matangazo. nikatuta kweli nafasi zipo. nafasi zilizo tangazwa ni;
Sailors, kalani class C, Radiographic, terminal tractor operator, high clerical officer, medical attendant, artisan medical, winch operator, mobile crane. Barua zinapokelewa office ya raslimali watu.
But hawajaweka address wala nini. UKIONA HIVYO KAZI ZA KUJUANA HIZO,PCCB WAKO WAPI?
Kweli kupata kazi ni kazi
Kama bado hujaona umuhimu wa kujiajiri...aisee pole sana !!! The rules have changed buddy, change with them...
without a capital?
Dah,,this country now is not our home anymore
Bora kujiajiri tu hata kuendesha boda boda kama mambo yenyewe ndo hivi