Matumbulu
JF-Expert Member
- Jan 5, 2009
- 315
- 265
Wana jf, kwanza nina masikitiko makubwa kwa vifo vya wanajeshi wetu waliouwawa Darfur. mimi napenda kueleweshwa kwa anayejua vizuri, ni mamlaka gani hutoa amri kwa jeshi letu kufanya operation mbalimbali?
Je ni mamlaka gani hutoa amri jeshi kwenda mtwara?
Je ni mamlaka gani hutoa amri jeshi kwenda Darfur?
Au ni mamlaka moja ndo hutoa hizo amri kwenda Mtwara, darfur au DRC? Kwa mtazamo wangu kama ni mamlaka moja ndo hutoa amri kwenda Mtwara na Darfur na DRC basi wanajeshi wetu wanaweza kuumizwa sana darfur Kuliko Mtwara.
Naomba Kuwakilisha.