matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 7,968
- 19,368
Asante mkuu, kuvu Ndio nini, huu msamiati kwangu.Ndani kwako kuna ubaridi unaosababisha kuvu kuharibu hao dagaa, Waweke juani kutwa kabla hujawahifadhi au kila baada ya siku mbili tatu waweke juani
Waanike juani mara kwa maraI View attachment 1248904
Kila nikinunua niwatunze ndani ya wiki kadhaa tu wanakuwa na vumbi na kuwa kama nimewaokota
Nipeni mbinu ya kuwahifadhi bila hii changamoto
I View attachment 1248904
Kila nikinunua niwatunze ndani ya wiki kadhaa tu wanakuwa na vumbi na kuwa kama nimewaokota
Nipeni mbinu ya kuwahifadhi bila hii changamoto
Ni sina Fulani ya Fangasi (Fungi) wanapenda sana kujitokeza kweny vyakula, vyenye unyevunyevu na kusababisha kuoza kwa chakula, kama ushawahi kusikia Sumu kuvu, basi ndo inatokana na hao Kuvu.Asante mkuu, kuvu Ndio nini, huu msamiati kwangu.
Sumu kuvu nyingine ukila "UNADANJA".Ni sina Fulani ya Fangasi (Fungi) wanapenda sana kujitokeza kweny vyakula, vyenye unyevunyevu na kusababisha kuoza kwa chakula, kama ushawahi kusikia Sumu kuvu, basi ndo inatokana na hao Kuvu.
haya mkuu dada.Hizi nyuzi zingine bana...!!
Yaani hadi dagaa wa kula nyumbani unakuja kuuliza jf..??
Mkuu, nakushauri tu umuulize mumeo na atakushauri vizuri jinsi ya kuwatunza hao dagaa wenu
ushauri mzuriNakushauri ukishawanunua, waoshe vizuri, waanike juani wakauke maji kisha wakaange kwa mafuta kiasi, limao/ndimu na chumvi unaweza kuweka kitunguu thom na kitunguu maji ukipenda, wakishakauka vizuri kwenye mafuta waache wapoe halafu hifadhi kwenye chombo safi, kazi yako itakua kuchota kiasi na kuunga, watakaa hadi miezi miwili bila kuharibika.
asante mkuuHao dagaa walihifadhiwa kabla hawajakauka na isitoshe wakawekwa kwenye mfuko.
asante sana mkuu
nimeelewa mkuuNi sina Fulani ya Fangasi (Fungi) wanapenda sana kujitokeza kweny vyakula, vyenye unyevunyevu na kusababisha kuoza kwa chakula, kama ushawahi kusikia Sumu kuvu, basi ndo inatokana na hao Kuvu.
Kabisa ni hatari sana!!Hasahasa sumu kuvu ya karanga na mahindi!