matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 9,514
- 23,523
Tembelea majiran mkuu kawajulie hali, huwezi kukosa chochotezamani mida kama hii ningekuwa nimeshapokea mahotipoti kama matatu ya pilau na vitoweo mbalimbali vya iddi kutoka kwa ndugu na majirani wanaosherekea sikukuu hii.
leo hadi sasa bila bila sijajua tatizo ni nini?
zamani mida kama hii ningekuwa nimeshapokea mahotipoti kama matatu ya pilau na vitoweo mbalimbali vya iddi kutoka kwa ndugu na majirani wanaosherekea sikukuu hii.
leo hadi sasa bila bila sijajua tatizo ni nini?