Wakuu usiishie kuweka wasimamizi tu jaribu kuwa unaibuka site japo mara moja moja!

Tutu kalundji

JF-Expert Member
Joined
Sep 19, 2023
Posts
532
Reaction score
1,287
Kumekuwepo na tabia ya wamiliki wa majengo kuwaamini moja kwa moja mafundi au wasimamizi.Ila kinachofanyika site za ujenzi ni aibu!
 
Na huu ndio ukweli wenyewe kabisa.
Kazi ni kipimo cha utu
 
Matajiri wa JF wana mambo mengi.
Hakuna muda wa kufanya ukaguzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…