Kasinja jr
JF-Expert Member
- Aug 4, 2017
- 1,034
- 1,812
Tia ufunguo uwe unafungua huku unaizungusha kwa nguvu.Sawa.Jana baada ya mizunguko yangu, nikazima gari vizuri tu, sasa Leo naweka ufunguo kuwasha hata hauzunguki,
Nikajaribu kuzungusha steling nasikia kama imebana haitoki, nikajua hapa steling imeloki,
Msaada naifunguaje,
Gari ni Voxy
Mkuu nikwo tinyite motoka?Tia ufunguo uwe unafungua huku unaizungusha kwa nguvu.Sawa.
Jana baada ya mizunguko yangu, nikazima gari vizuri tu, sasa Leo naweka ufunguo kuwasha hata hauzunguki,
Nikajaribu kuzungusha steling nasikia kama imebana haitoki, nikajua hapa steling imeloki,
Msaada naifunguaje,
Gari ni Voxy
Naomba nielekezwe njia ya ku unlockUnlock tu mkuu.
Simple! LolUnlock tu mkuu.
Nimeweza asante mkuuUnlock tu mkuu.
Yes ni simple maana sijawahi kukutana na ishu hii, ka gari kenyewe kapya nakahurumiaSimple! Lol
Ndiyo ila nsha unlockSteling? π€£
Nimeweza asante mkuu
Don' laugh, school him/her.Steling? π€£
Ina maana huo ufunguo uliotia sio wake? Na italokije wakati kuna ufunguo ushauingiza..Jana baada ya mizunguko yangu, nikazima gari vizuri tu, sasa Leo naweka ufunguo kuwasha hata hauzunguki,
Nikajaribu kuzungusha steling nasikia kama imebana haitoki, nikajua hapa steling imeloki,
Msaada naifunguaje,
Gari ni Voxy
Hapo sawa kabisa atafanikiwa kama switch itakuwa nzimaTia ufunguo uwe unafungua huku unaizungusha kwa nguvu.Sawa.
Mbaya zaidi situation kama hiyo inakukuta umeshawapita watu hujawasalimia,umechomekea mwenyewe unatembea kwa mapozi utafikiri unaenda kuendesha Ferari,halafu unakwama kwenye kuunlock steering,hapo nina uhakika lazima jamaa alivyoingia kwenye gari hakutoka,akaanza kutafuta msaada JF huku kajifungia ndani akitaabika kwa joto ili asionekane kuna kitu kinamshinda,na mpaka anapata ufumbuzi kama ni Dar lazima shati akamue jasho...Don' laugh, school him/her.
Hahaha! Pozi lote linaisha.Mbaya zaidi situation kama hiyo inakukuta umeshawapita watu hujawasalimia,umechomekea mwenyewe unatembea kwa mapozi utafikiri unaenda kuendesha Ferari,halafu unakwama kwenye kuunlock steering,hapo nina uhakika lazima jamaa alivyoingia kwenye gari hakutoka,akaanza kutafuta msaada JF huku kajifungia ndani akitaabika kwa joto ili asionekane kuna kitu kinamshinda,na mpaka anapata ufumbuzi kama ni Dar lazima shati akamue jasho...
Mbaya zaidi situation kama hiyo inakukuta umeshawapita watu hujawasalimia,umechomekea mwenyewe unatembea kwa mapozi utafikiri unaenda kuendesha Ferari,halafu unakwama kwenye kuunlock steering,hapo nina uhakika lazima jamaa alivyoingia kwenye gari hakutoka,akaanza kutafuta msaada JF huku kajifungia ndani akitaabika kwa joto ili asionekane kuna kitu kinamshinda,na mpaka anapata ufumbuzi kama ni Dar lazima shati akamue jasho...
Yes ni simple maana sijawahi kukutana na ishu hii, ka gari kenyewe kapya nakahurumia