Wakuu uskani (Steering) wa gari langu umejifunga msaada wa haraka

Jana baada ya mizunguko yangu, nikazima gari vizuri tu, sasa Leo naweka ufunguo kuwasha hata hauzunguki,

Nikajaribu kuzungusha steling nasikia kama imebana haitoki, nikajua hapa steling imeloki,

Msaada naifunguaje,

Gari ni Voxy
Pole mkuu, nenda kwa azima shoka, nyundo, au patasi then tumia shoka huku umeshikiria nyundo uigonge gonge mpaka ifunguke
 
Mkuu unazunguka uzoefu naona
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Aliyetoa wazo la kuanzisha shule za kata hawezi kwenda mbinguni.
.Aliyetoa wazo la Shule za Kata alikuwa Genius sana na kasaidia mno si Kwa kiwango watu wanachotaka.Ila Sasa wa kuendeleza wazo la Shule za Kata ndo Hayupo.Ni kama zilitelekezwa
 
achana na magari ya kuazima
Jana baada ya mizunguko yangu, nikazima gari vizuri tu, sasa Leo naweka ufunguo kuwasha hata hauzunguki,

Nikajaribu kuzungusha steling nasikia kama imebana haitoki, nikajua hapa steling imeloki,

Msaada naifunguaje,

Gari ni Voxy
 
Hahaha nimecheka, kuna kipindi nilikuwa na betri bovu, na nilizunguka na gari kama siku mbili hivi...yaan nilikuwa niki park nasalimia kila mtu...na tabasamu juu...!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…