Mechanic 97
JF-Expert Member
- Feb 6, 2021
- 854
- 1,296
Wakuu habarini ni hivi baada ya kufanya manunuzi mara kadhaa katika mtandao wa kikuu na AliExpress Sasa nataka kujongea panapo ebay. Hivyo naomba mnimpe picha halisi ya ebay mfano aina ya wauzaji, usafirishaji, refund and return, disputes. Karibuni wakuu