Mechanic 97
JF-Expert Member
- Feb 6, 2021
- 854
- 1,296
Karibu Kwa maoniWakuu habarini ni hivi baada ya kufanya manunuzi mara kadhaa katika mtandao wa kikuu na AliExpress Sasa nataka kujongea panapo ebay. Hivyo naomba mnimpe picha halisi ya ebay mfano aina ya wauzaji, usafirishaji, refund and return, disputes. Karibuni wakuu
Asante mkuuKwakuanzia kuna bidhaa zimeandikwa kabisa kua zitatozwa kodi wkt inapofika wkt wakufanya clearance pale airport.
Pili kua makini sana kwakua kuna Scammer wengi sana ebay hivyo angalia rating za supplier,product km Ina fault pia
Mitandao ya simu wanazo hizo virtual Mobile visa, mie hua natumia kufanya manunuzi Ali expressHivi VISA ya kulipia Netflix naweza kulipia pia Ebay? Maana mitandao ya simu wana Virtual VISA.
unatumia iyo iyo mkuu haina tatizo, na kama unahitaj pia unaweza ukalink na account ya PAYPAL,Hivi VISA ya kulipia Netflix naweza kulipia pia Ebay? Maana mitandao ya simu wana Virtual VISA.