wakuu vipi kuhusu scholarship za wadosi mwaka huu?

eliesikia

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2010
Posts
787
Reaction score
758
habari wakuu?

Mambo ya UDSM ndio kama mlivyosikia wakuu...
sasa kuna hizi scholarship za wadosi kama 18 hivi mwaka huu sijaona tangazo kabisa kwenye website yao ie. 12/13...

Nataka niombe nikauze nyago kwa wadosi maana kwa mkandala sirudi na siasa zake uchwara ananyanyasa manguli wa elimu nchini...

nawasilisha..!
 
Oya,kwan na we umepewa red card?
 

pole sana , mkuu
 
jibuni swali wakuu mtoto wa kiume hupimwa kwa ushujaa sio pole kama kafiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…