Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata huu Urais kama si kifo cha Mkuu kabla asingetokea kamwe mwanamama kuwa Rais,tumeona udhaifu kwa sample hii ya Kizimkazi.Hawafai hata kidogo kuwa kichwa kwa nafasi yoyote ile, labdda ukuu wa Shule tena iwe primary,na pia kutakuwa na kasumba sana wakiwa wakuu wa shule😂,Am sorry mama,shangazi dada na mke wangu mpendwa, ila huo ndio ukweli .Hivi hakuna mwanamke anayekidhi vigezo vya kuwa mkuu wa majeshi?
Tuwekee na wa Jkt mkuuWajue wakuu wa Majeshi waliohudumu nafasi zao tangu mwaka 1964-2024!View attachment 2961651